JINSI YA KUCHIMBA MADINI

Kichwa

JINSI YA KUCHIMBA MADINI

Tarehe

21-20-2021

Maelezo

Ingawa uchimbaji mdogo una mchango mkubwa kwenye maisha ya wakazi wengi vijijini, sekta hii imekuwa ikilalamikiwa kuleta athari katika mazingira na jamii. Hii inachangiwa na kushindwa kufuata viwango vya afya na usalama (Hinton 2005), kuchangia uharibifu wa mazingira (Kitula 2006), chanzo cha ajira kwa watoto (HRW 2013), kuleta matatizo katika jamii yanayotokana na mabadiliko ya demografia, ukosefu wa kipato na ajira (Bryceson na Jønsson 2010), na migogoro ya ardhi (Lange 2011; Carstens na Hilson 2009). Ingawa Sheria na Kanuni zinazoongoza sekta ya uchimbaji madini nchini zimetungwa vizuri, kiuhalisia, shughuli nyingi za wachimbaji wadogo sio rasmi na hufanyika maeneo ambayo hayawezi kufikika kiurahisi na mamlaka za serikali. Kwa kuwa mamlaka nyingi za udhibiti hazina rasilimali wala motisha ya kusimamia utekelezaji wa kanuni zilizopo kwa ufanisi, hupelekea sekta ya uchimbaji mdogo kutoadhibiwa kwa kushindwa kufuata kanuni zilizowekwa. Zaidi ya hayo, kwa kuwa upatikanaji wa

Imetumwa

2021-05-26